Uponyaji

Healing

Katika Yohana sura ya 5 msitari wa 19 na 20 tunasoma kile Yesu alisema, kwa wale waliomkosoa kwa kuwa waponya wagonjwa katika siku ya Sabato. Alikuwa amemponya mtukatika bawa la Bethzatha na ikawa ni siku ya Sabato wakati aliufanya mujiza huu. "Yesuakajibu akawa ambia amini nawaambieni mwana hawezi neno mwenyewe ila lile amwonaBaba analitenda,

Kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo mwana vile vile. Kwakuwa Babaampenda mwana, naye amwonyesha yote ayatendayo mwenyewe, hata na kazi kubwa kulikohizi atamwonyesha ili ninyi mpate kustaajabu." Yesu hangeweza kumwekea mtu yeyotemkono au kuamrisha uponyaji wowote isipokuwa ameagizwa na Baba kufanya hivyo.

Katika Kutoka sura ya 40 msitari wa 36 hadi 38, tunasoma kuhusu wingu lililokuwa juu yahema ya kukutania ambalo liliwafuata Musa pamoja na watumwa wa awali wa Kihebraniakupitia jangwani. "Na hapo lile wingu lilipoinuliwa kutoka juu ya maskani wana wa Israeliwakaenda mbele katika safari zao zote, bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ulehawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.

Kwa maana lile wingu la Bwana lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na kulikuwa namoto ndani yake wakati wa usiku, mbele ya macho ya nyumba ya Israeli katika safari zaozote." Hata katika miaka hiyo ya maelfu iliyopita Bwana alikuwa anajaribu kuwafundishawatu wake somo la thamana – "msisonge mpaka nitakapo songa."Historia ya kanisaingelikuwa tofauti kabisa iwapo kanisa litasoma somo hili la thamana sana.

Kumwekea mtu mikono ni imani pekee iwapo Mungu ameamrisha iwezekufanyika kwawakati huo, Paulo anaandika katika Warumi sura ya 10 msitari wa 17: "Basi imani chanzochake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo." Basi iwapo tutaweka mikono juu yamtu na tuombee uponyaji wao pasipo kuelekezwa na Mungu, kile tunachofanya sio katikaimani ni kutoka kwa akili zetu wenyewe, labda ndio sababu hakuna uponyaji mwingi katikamakanisa ya mataifa ya magharibi.

Katika Luka sura ya 17 msitari wa 17, tusoma kitu cha manufaa sana katika somo hili. "Ikawasiku zile moja yapo alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waalimu watorati walikuwawameketi hapo, waliotoka katika kila kijiji cha Galilaya, na Uyahudi, na Yerusalemu, nauwepo wa Bwana ulikuwepo apate kuponya."

Kifungu hiki kinapendeza sana kwa sababu katika lugha ya kiingerrza hakuna taarifa ya kadri.Iwapo tunasoma kuwa nahodha wa meli alikuwa imara siku hiyo inaoyesha kuwa kulikuwana wakati mwingi ambao hakuwa. Sawa na msitari huu kutoka kwa injili ya Luka kweli kuwainasema "nguvu za Bwana zilikuwepo kuponya" inaweza kuonyesha kuwa hili halikuwahivyo kila mara.

Tushaona kuwa Yesu hangefanya chochote chake binafsi lakini kile ambacho Baba alikuwaanafanya, basi lazima tulizingatie hilo tunapoita mkutano ilikuwaombea, watu wanaohitajiuponyaji iwapo nguvu za Bwana sitakuwepo kuponya katika tukio hilo, au itakuwa Babahatakuwa akifanya uponyaji sana katika tukio hilo? Hebu tuangalie tena katika sehemunyingine inayopendeza sana ya Yohana sura ya 5, inayotuambia nini kilifanyika kabla yamisitari ambayo tumekuwa tukiiangalia. Msitari ni 1hadi 13 na imenukuliwa hapo chini.

"Na hapa palikuwa na mtu, ambaye alikuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.Yesu alipomwona huyu amelala, naye akijua amekuwa hali hiyo siku nyingi alimwambia,wataka kuwa mzima? Yule mgonjwa akamjibu Bwana, mimi sina mtu wakuniweka birikani,maji yanapotibuliwa, ila waklati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu.

Yesu akamwambia simama ujitwike gondoro lako, uende mara yule mtu akawa mzima,akajitwika, gondoro lake akaenda.. Nayo ilikuwa ni siku ya Sabato. Kwa sababu hiyoWayahudi wakamwambia yule aliyeponywa, leo ni Sabato, wala si halali kwako kujitwikagondoro. Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia jitwike gondoro lako uende.

Basi wakamwuliza, yule aliye kuambia jitwike ni nani? Lakini yule mtu aliyeponywahakumjua ni nani, maana Yesu alikuwa amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengimahali pale." Iwapo tutakuwa waaminifu kwetu wenyewe na Mungu, kunao wakristowachache ambao hawataweza, wakiwa wameona muujiza mkubwa kama huo umefanyikawakati wamemwombea mtu, wanaenda saa hiyo hiyo na kuombea kila mtu aliye mahali hapo.

Tukijua kuwa Yesu ni wa rehema, je, ni kwanini hakufanya hivi? Jibu laweza kuwa ni kwasababu bila shaka Baba hakumwambia hafanye hivyo, Alimwambia amwombee huyo mtummoja pekee, akiwa amefanya hivyo kwa utiifu Yesu anatoka hapo kwa ghafla.

Je, ulitambua kuwa wakati watu wale vipofu walipokuja kwa Yesu ilikupokea kuona kwao,Yesu aliwaponya kwa njia tatu tofauti? Ya kwanza tutaangalia katika hadithi hii ya Batimayoinayopatikana katika Marko sura ya 10 msitari wa 46 hadi 52. Inasema hivi: "WakafikaYeriko: Hata aliposhika njia kutoka Yeriko, pamoja na wanafunzi wake, na mkutanomkubwa, mwana wa Timayo batimayo yule mwombaji kipofu alikuwa ameketi kando ya njia.

Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake akisema mwana waDaudi Yesu unirehemu. Na wengi wakamkemea anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti,mwana wa Daudi unirehemu. Yesu akasimama akasema, mwiteni.

Wakamwita yule kipofu wakamwambia jipe moyo inuka, anakuita. Akatupa vazi lake,akaruka, akamwendea Yesu. Yesu akajibu akamwambia, wataka nikufanyie nini? Yule kipofuakamwambia, Mwalimu wangu nataka nipate kuona. Yesu akamwambia enenda zako, imaniyako imekuponya. Mara akapata kuona, akamfuata njiani."

Katika Yohana sura ya 9 ni njia tofauti kwa pamoja. Msatari wa 1 hadi 7 unaelezea hadithi."Hata alipokuwa akipita alimwona mtu kipofu tangu kuzaliwa. Wanafunzi wakewakamwuliza, wakisema Rabii, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hataazaliwe kipofu? Yesu akajibu huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake, bali kazi za Munguzidhilihishwe ndani yake. Imetupasa kufanya kazi zake yeye aliyenipeleka maadamu nimchana, usiku waja asipoweza mtu kufanya kazi. Mda nilipo ulimwenguni mimi ni nuru yaulimwengu. Alipokwisha kusema hayo, alitema mate chini akafanya matope, kwa yale mate.Akampaka kibofu kope za macho, akamwambia nenda kanawe katika birika la Siloamu,(maana yake aliyetumwa). Basi akaenda na kunawa, akarudi anaona."

Tukio la tatu linapatikana katika Marko sura ya 8 msitari wa 22 hadi 25. "WakafikaBethsaida, wakamleta kipofu, wakamsihi amguse, Akamshika mkono yule kipofu, akamjukuanje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake akamwuliza, waona kitu?

Akatazama juu akasema, naona watu kama miti, inakwenda. Ndipo akaweka mikono yake,juu ya macho yake, naye akatazama sana, akawa mzima, akaona vyote waziwazi." Unafikiriani kwanini Yesu aliwaponya watu hawa vipofu kwa njia tofauti? Je ni kuonyesha kuwaanapenda njia tofauti, au alikuwa anajifurahisha kufanya vitu tofauti kwa wakati huo?

Inauwezekano kabisa kuwa Baba alimwongoza kuwaponya watu hawa kwa njia hizi tofauti,na kwa sababu Yesu alikuwa akipokea maagizo kutoka kwa Baba aliweza kufaulu katika kilatukio. Kwa nini Yesu alimwuliza mtu yule iwapo anaona kitu? Huu ndio wakati pekee Yesualifanya jambo kama hili, hata hivyo hili ni funzo zuri kwetu sisi.

Mtu huyo hakusema, "Sitamwacha shetani apate ushidi kwa kusema bado siwezi nikaonasawasawa, au nina ponywa kwa imani kwa hivyo nitakiri kuwa ninaona sawasawa na kila kitukita kuwa sawa." Mtu huyu hakusema chochote kati ya mambo haya. Alikuwa wazi kwaYesu na kumwambia hali jinsi ilivyo na sio vile angeitaka kuwa.

Si ni kweli kuwa, wakati mwingine tunakuwa kiroho sana, mpaka kiburi hakituruhusu kuwawaminifu na kukubali udhaifu wetu aidha kwa ndugu zetu na dada zetu katika Kristo, au kwaMungu. Kwa sababu mtu huyu alikuwa mwanifu kwa Mungu aliona kazi imekamilika, iwapoangekuwa na kiburi na kiroho sana angekuwa anawaona watu milele kama miti inatembea.Iwapo hatutaki kuwa waminifu kwa ndugu zetu na dada zetu katika Kristo, basi wacha tuwewaminifu kwa Mungu.

Je, umewahi kutambua jinsi watu wengine watakuja mbele kwa ajili ya maombi, nainaonekana kana kwamba wamepokea uponyaji wao, na mwezi unaofuatia wanarudi kuombamaombi tena kwa ajili ya ugonjwa huo huo au shida ile ile? Iwapo hauna maelezo ya sababuhiyo ni kuwa, umekuwa ukiombea dalili badala ya kiini kinacho sababisha.

Iwapoutavunja kichwa cha magugu shambani mwako, unaweza tambua kuwa inamea tenakwa haraka, hii ndiyo sababu tunapowaombea watu uponyaji tunastahili kupambana na kiini,na sio tu dalili. Kuna magonjwa mengi ambayo yalikuja kama uridhi kutoka kwa mababuzetu.

Iwapokuna mtu katika familia kwa wakati mmoja alikuwa mlevi, inawezekana wewe piaukawa katika umri Fulani maishani mwako. Kuna mtu yeyote katika familia yenu aliyejitoauhai wake? Iwapo yupo kweli ni kuwa kama haitavunjwa katika ulimwengu wa roho, kunauwezekano wako kufanya hivyo kama hata vile ulivyo.

Kuna mambo mengi ambayo yanafanana na magonjwa na ulevi yaliotajwa hapo chini, niorodha inayochosha, mifano micheche tu: Magonjwa yanayohusiana na uvutaji wa sigara,kansa, msukumo wa damu, ugonjwa wa akili, umaskini, unyogovu na pamoja na mambomengi mengine.

Watu wengi usema kuwa sababu kamilifu imefika (Yesu) hatuhitaji neno la maarifa, utambuziau vingine vingi vipawa vya Roho Mtakatifu vilio orodheshwa, lakini unapokuwaunawaombea wagonjwa mwuulize Mungu akuonyeshe kiini cha shida yao, katika matukiomengi atakuonyesha, ndipo utaomba na matokeo mengi kuonekana.

Watu wengi huliza ni kwa nini Mungu anaruhusu magonjwa baada ya kifo cha Yesumsalabani, na hata ufufuo wake, lakini twaweza kuona kutoka kwa maandiko kuwamagonjwa yote yanaweza kufatwa nyuma mpaka wakati Adamu na Hawa walipomwasiMungu, na basi dhambi na magonjwa yakaingia ulimwenguni. Swali la halali ni "Kwaninitunaruhusu dhambi katika ulimwengu ambao Yesu ametuamru tuweze kuutawala kwa jinalake?

Unahitaji kutembea tu katika barabara za mji wako mwenyewe, ili uweze kutambua mambomengi tofauti ambayo yanaendelea katika taifa lako, pasipo mtu kuchukua hatua na kuzuiadhambi hizi kuendelea. Kulikuwa na mtu miaka iliyopita, aliyelazwa hospitalini kwa kuvimbakiambatisho. Hakuweza kuelewa ni kwa nini Mungu anaweza kurusu hili kufanyika kwakebaada ya kuwa amemtumkia Bwana kwa miaka mingi, kweli kutoka ujanani mwake.

Alilazwa haraka hospitarini na baada ya upasuaji alikuwa na nafasi ya kuongea na watuwengine, kuhusu kile alichokuwa anapenda kuzungumzia zaidi – Yesu na injili ya kweli.Aliruhusiwa kukaa hospitarini iliapate nafuu kutokana na upasuaji, kwa wakati huo nusu yawodi na wafanyakazi wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya wodi hiyo wakapokeawokovu kupitia Yesu.

Wakati Yusufu alikutana na ndugu zake baada ya siku nyingi alitoa ujubme mzito kwao.Akasema, "Lakini ninyi, mlifikira mabaya kwangu lakini Mungu aliyafanya kuwa mema,kuyaleta kuwa kama ilivyo siku ya leo, wokovu kwa watu wengi." Hutufai kusahau kamwekuwa kuna kitu kama vita vya kiroho na hakuna kitu kama mapigano kati yako na adui.

Iwapoutakataa kumshambulia basi unajua wazi kuwa anaweza kukushambulia pasipo kujali.Hii ndio sababu tumepewa silaha zote za vita, na kwanini tusisitumie kila siku, ilikuwatuweze kushida mishale ya mwovu. Wakati unaanza kuyaangalia mambo katika mtazamo wakinyume shatani anafurahia, kwa sababu sasa huwezi ukamsifu Mungu, lakini unaopo msifu

Mungu anachukia hilo na hawezi akakaribia. Katika Yakobo sura ya 1 msitari wa 2 tunasomaujumbe wa kuvuta – pumzi na pendekezo, kufanya kitu ambacho kikombali na kuwesekanakufanyika. "Ndugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu, mkiangukia majaribu mbalimbali;mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa naneno." Pia kuna ahadi ya ajabu kama hiyo. Warumi sura ya 8 ms 28 inasema: "Nasi twajuakuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi na wale wampendao, katika kuwapa mema,yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake."

Wakati watumwa halisi wa Kihebrania walitoka Misri walikosa kuingia katika Nchi ya Ahadi,kwa sababu walikuwa wanalalamika kila wakati, wakiwa kinyume na wakiangalia magumu tubadala ya kumwangalia Mungu aliyekuwa na majibu mkononi Mwake kama ilivyo hakika.

Utakosa kuingia Nchi ya Ahadi iwapoutafanya hivyo pia. Mungu amefanya yoteyanayohitajiika kwako kufikia ukomavu katika Kristo, na uufikie utimilifu wa kimo chakendani ya Kristo, iwapo utafaulu au kushindwa hilo linategemea wewe. Katika 1 Wakorinthosura ya 9 msitari wa 24 hadi 27 tunasoma: "Je! Hamjui ya kuwa wale washindanao kwakupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, ilimpate. Na kila ashindanaye kitika michezo hujizuia yote.

Basi hufanya hivyo kusudi wapokee taji iharibikayo; bali sisi tupokee taji isiyoharibika. Hatamimi napiga mbio vivyo hivyo, si kama apigaye hewa; bali na utesa mwili wangu nakuutumikisha, isiwe ni kisha kuhubiri wengine mwenyewe niwe wa kukataliwa."

Katika usawa wote kwa kila anaye husika, lazima isemwe kuwa kuna hali nyingi ambapomateso ya watu walio na magonjwa kunatokana na udhalimu na udanganyifu. Kwa mfano,mwaka wa 1976 kulikuwa na mtetemeko mkubwa wa ardhi Sicily kisiwa kikubwa chamagharibi mwa Italy, kutokana na mtetemeko huu watu wengi walipoteza nyumba zao, nawengi wao kama sio wote mali zao.

Pesa nyingi ziliweza kuchangwa ili kuwasaidia watu hawa kupitia wito wa kimataifa, lakinisehemu ya pesa nyingi zilizo changwa hazi kuwafikia ili kuwasaidia watu hawa, nyingi yapesa hizi zilielekezwa kwenye akaunti za wanachama wa ‘The Mafia’ na mashirika mengineya kigaidi. Kwa sababu ya hili watu wengi wakawa wagonjwa, kupitia magonjwa yakuambukizana kutoka kwa maji kwa kuwa hawangeweza kupata maji safi ya kunywa,walikuwa wanakunywa chochote kilicho patikana, na kwa wakati mwingi yalikuwayameambukizwa na maji machafu. Kutokana na hili wengi wakafa na walioepuka kifowakawa wagonjwa sana.

Hili sio tukio pambalo limetengwa, wakati kulikuwa na michezo tofauti ya kuigiza,ulimwenguni kote, iliyopangwa na Bob Geldo kuchangiza mamilioni kwa wale waliokuwawamekubwa na janga la njaa, mamilioni ya paundi zilipeanwa kwa mataifa tofauti ili wawezekuwalisha maskini wao, na mataifa yaliyokuwa na janga la njaa, hata hivyo tena kiasi kingicha pesa hizi kilielekezwa kwa manufaa ya wanachama wengi wa serikali hizo, kabla kiasichochote kupewa kwa taifa lao kwa wale waliona njaa.

Wakati matajiri wanaendelea kupata utajiri zaidi hakuna hata wazo linalopewa wale waliosehemu kama za Uganda, wengi wao ambao ni watoto yatima ambao siku nyingi wana lalabila kuweza kupata hata mlo moja kwa siku hiyo. Kwa sababu hawawezi kupata maji safi yakunywa wana kunywa chochote wanachoweza, na hili linasababisha kuzambashwa kwamagonjwa mengi hatari kama kipindupindu.

Itatumia kama kiwango cha matumizi ya siku moja kwa usalama katika taifa la magharibi,kukomeza malaria kutoka kwa mataifa iwapo tu mataifa yatakuja pamoja, na kuchukua hatua,lakini wanachukulia kuwa hawahusiki kiuchumi kufanya hili. Magonjwa mengine yanawezakukomeshwa kutoka ulimwenguni iwapo, wale walio katika mataifa tajiri wanaweza kuamuakuwa hili ndilo wangetaka kufanya.

Mataifa mengi hata hivyo yanafanya faida kubwa kutoka kwa mauzo ya madawa, katikamataifa ambayo magonjwa hayo yamejaa, kwa hivyo kwa wazo unaweza ona ni kwa niniwanafikiria hivyo, kinacho hitajika ni kubadilishwa kwa moyo wa mwanandamu; hili nijambo ambalo ni Mungu pekee anayeweza kulileta, watu wengi huteseka sana kupitia vita,hivi vita pungua kabisa na hakuna yeyote atakayeachwa akiteseka kwa njaa au hata kwendakulala bila chakula, wakati Yesu ataanza ukutawala wake wa miaka 1000

Maji safi yatapatikana kwa kila mtu bila malipo, na ulimwengu utapata kujua rehema ambazohizijapata kuwepo katika ulimwengu huu kwa milenia, kama ilivyoandikwa katika kitabu chaUfunuo sura ya 22 nusu ya pili ya msitari wa 20 "na uje, Bwana Yesu.

back to main articles page